Blanda za sexting…

July 16 2014 10:22am     0 2317

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nyjah ni mbuus ako yuni, risto ilibidi kumaha mtaani na kujikalisha,mbali na usoro ya mapero. Na kama stiude wowote, hajapitwa na mhadhara za kutumia mitambo za kuwasiliana na mabeshte.

Zaidi ya kukuwa na nangos, alijihusisha kwa social media, sana sana Twitter na Instagram. Lakini blanda jamo alijiingiza kiufala, ilikuwa kubeat mbisha za yeseye akiwa ndedhe.

Alirudi akatumia bazenga wa kwake hizo mbisha by mistake, kama anatry kutumia chali yake. Nyjah aliharibu hiyo situation zaidi baada ya kupost risto yote kwa twitter akidai venye budake amekatsika.

Risto ikatemana kuwa private na sasa ikawa public knowledge. Lakini bado nashanga na hawa wasee wanatumiana nude pics wakidai ni romantic. Ni venye wamekosa mistari za kukatia ama kunaenda aje? 

Related Stories