Maisha ninda ya Jamaica!

August 5 2014 3:24pm     0 891

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Kumbe ile noma ilitokelezea  kwa akina sebo (Uganda), iko mayadi zinengi pia? Kuna risto hasapa kuhusu maisha ya Jamaica, kando na mastreet bash na raha za kublaze na kadhalika.

This round, focus iko kwa mahomo wa Jamaica na venye wanakapitia juu ya kukuwa tofauti na majamaa wengine. Kuna venye ilibidi group nifla ya hawa mafargo na trangender yuts, kujitenga kutoka kwa society na kuenda kuishi kwa mtaro. Hadi wamekuwa wakijulikana kama the Gully Queens. Hisiyo ‘gully’ ni storm drain yenye inapitia niche ya baron a makeja.

Inasemekana walimaha na kuenda kuishi hivyo, kwa sababu ya kuget constant threats za homophorbic attacks. Yaani wasee kuwabeat, rape ata kuwamada coz wako gay. Zaidi ya maneighbor kuwavunjia keja na kuwachomea ninda ya waks, wengine wao wamechujwa kutoka mtaani na famo zao.

Sa wakimuja kwa hisihi ‘gully’ hubidi wanajenga famo nira kutoka kwa mabeshte juu zile attaks saa zingine huwapata hasapo. Wanadai pia hanaku msee anawatetea, juu gava haitaki kuwatambua,  makarao nao hudinda kuwasaidia wakiattackiwa na raiya alafu ata kanisainapromote homophobia. Ata kuna ngoma zinavuma zikidai ‘kill the batty boys.’ Hubaki wanajiprotect wenyewe.

Utapata wakitembea na weapons kama dagger, panga, na bunde. Na since hawawezi kuwai janta, hubidi wanakuwa madingo ama wanakinda vitu kama bika, keroro, na fegi. Pia wanaweza peddle boza ama kujikinda kama malanga kwa streets.

Enyewe ni blanda vimost juu hii situation haitabadilika. Kumaanisha vita kati ya wadhii wako straight na mahomo haitawai katika.

Related Stories