Ufala hudedisha…

August 5 2014 4:08pm     0 663

Photo Credit:Google   Tingua risto

Oscar Otero Aguilar, ni kijana alikua miaka mbao najamo kutoka Mexico city. Na kama majamaa age yake, alipenda kuhepi. Kumaanisha tei ilikua pass time mwenda.  Pia alikuw ninda yah ii riba yakujipiga maselfie, akiwa na vitu kadhaa kando yake kama; ndai ama boti za keroro.

Sa alirudi kudedi kiufala juu this time, aliamua kupiga selfie kama ameshikilia bunde kwa mdihe. Kwa bahati mbaya, alipull trigger na kugenya instantly. Mabeshte wale walikua na yeseye, walirudi kudai alikua anataka ku-upload hizo mbisha kwa Facebook.

Lakini ata kama mavedi wanashuku hisihi ilikua accident, bado walibamba beshte yake mjamo, na wanasaka mwingine mwenye anasemekana alihepa after hii risto kuhappen.

Related Stories