Wasee wa ndudhii kukaziwa kuingia GG

August 7 2014 10:18am     0 898

Photo Credit:JACKSON OKOTH    Tingua risto

Kwa wale wasee huendesha ndudhi mostly wale hu earn a living kupitia ndudhi, kuna venye wanaweza umia tu sana law flani mpya ikapitishwa. Law yenyewe ni kuwakazia kuingia Central Business District (CBD) na sio Nai pekee...hadi ma tao zingine hasapa Kenya.

Law yenyewe inadasha motor cycle operators wachujwe kwa matao zote, hii proposal ilikuwa kwa Draft National Transport and Safety Authority (NTSA) Regulation (operation of motor cycle) 2014. Reason bwaku ya hii risto ni juu kumekuwa na kesi mob sana za wasee kubondwa kwa mapevu na ndudhii ziko unregistered. Alafu bado hawa wadhii wa kuendesha ndudhii wamekuwa wakikosa ku obey traffic laws na ku obstruct wasee wanaendesha madinga san a sana idhaa ya traffic jam, saa zile ubaro hua kameshikana deadly.

Statement ili releasiwa jana na NTSA, imealika raiya, yaani the public na stakeholders ili waweze kuchangia kwa hiyo draft regulation before 13th Augast 2014. Views zenye wasee watamochoa zita submitiwa kwa Director General wa NTSA ndio aweze kuamua area zenye wasee wa ndudhii watakuwa wanafanyia wera yao kuanzia 5 AM hadi 11 PM.

Na regulation ina apply kwa ndudhii zote zina operate kwa ubaro yoyote hasapa 254, yaani ni lazima ndudhii iwe registered, ikue na helmet na reflectors mbekses, ndio iweze ku comply na Kenya Bureau of Standards. Na msee akajaribu kuvunja any ya hizi regulation, atahave kukanja thao mbao (KSh 20,000) kama fine ama kutupwa neti miezi sita ama pia unaweza kanjishwa na bado utupwe neti.

Unaona hii ni step poa by gava am ani pang'ang'a tu za kawa?

Related Stories