Alafu wanatushow sahii?

August 13 2014 12:45pm     0 719

Photo Credit:Google   Tingua risto

Unajipatanga ukichagua toothpaste niga ya kutumia mtaani? Kama siko far sana na ukwela, I bet wesewe ni mjamo wa wateja wa kuboti Colgate. Na ukichunguza umekuwa ukitumi hisihi product tangu ukiwa mniaju.

Sa kuna risto imemochoka, ikidaishwa, kuna venye Colgate Total Toothpaste, yenye inafaa kufight gum disease, iko linked na spread ya Cancer.  Inasemekana kuna chemical iko ninda ya hii toothpaste, inajulikana kama Triclosan, yenye inaweza kuwa inaleta hiyo cancer.

Colgate Toothpaste ilikubalishwa kwa mako, mwaka wa 1997 na the Food and Drug Administration (FDA). Na imekuwa ikitumika kama jamo ya major toothpastes na husuko Oteto na ata countries zinengi.

Lakini kunazo tests zilifantiwa mapanya, zenye zilileta kiblanda kutokana na hiyo chemical kama; premature births na underdeveloped bones. Pia iliweza kureduce fertility na kucause low sperm production.

Inadaishwa hisihi research ilifanyiwa wanyama pekee, na bado hanaku signs za binadamu kupata madhara. But misimi sitangoja kukuwa kama hizo lab-rat, heri kutemana tu mapema mapema.

Related Stories