Mambuus wakona reason ya kubambika!

August 13 2014 5:35pm     0 660

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa hizi time za mambuus kudai kukuwa Independent, imewawezesha kutake control ikikuom risto za lungula. Inabaki ata wanajibebea kondicha, ama kuamua kama watajipa na pia kujifikisha hasapo VCT kupimwa.

Sa kuna venye hisizi mraa zinaweza katika na madem kujibamba vimajor ikikam riba za kusexuana. Yuni ya Washington, imemochoa research nira yenye inawezesha tampons kumekishwa na HIV-preventing medication, ya kutumiwa madakika baada ya lungula.

Kuna dawa inajulikana kama maraviroc yenye inachanganywa kwa fiber za kumekisha tampon, ambapo ikishawekwa kwa ikuus inafanya wera mbio na kuchuja virusi, kama kuna any. Pia hisihi tampon inatoa gel yenye inadissolve ninda ya manzi na iko safi.

Kumaanisha ata unaweza marika na msee ako HIV positive na utakuwa poa, bora kutumia hiyo tampon venye inafaa. Lakini blanda ni ati bado haziko kwa make. Ata hivyo, hatuwes mind kungoja.

Related Stories