Karao alitetewa na raiya…

September 10 2014 9:29am     0 392

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Tuesday 9 September2014, ni siku itago down in histo, kwasababu ya raiya kutoka mtaa ya Githu 45. Kutoka ngware wadhii waliblock baro wakiprotest kwa sababu karao mjamo wa hiyo area, alikuwa amebambwa, akiwa accused for murder.

Constable Titus Ngamau Musila a.k.a Katitu, anasemekana alimada Kenneth Kimani Mwangi on Sunday 14 April 2013 alafu pia kibronje wa Ken, mwenye alijulikana kama Oscar Muchoki Mwangi on Sunday 24 August 2014.

Sa Katitu anachill kufikishwa kotiko, lakini raiya walikuwa wanamtetea wakidai alimada hao wasee juu walikuwa madingo. Na walikuwa wana terrorize wadhii wa hizi mayadi. OCPD wa Kasa,Augustine Nthumbi, alitry kunego na raiya coz walifanya kukawa na jam mwenda kwa Thika Super Highway, lakini ikawa ni hustle kuwatuliza.

Inadaishwa hii risto haijakwisha bado na raiya wako ready kuzusha hadi husuyu karao kuachiliwa kutoka remand.   

Related Stories