Verdict kuhusu Oscar Pistorius imemochoka…

September 12 2014 3:26pm     0 349

Photo Credit:Google   Tingua risto

Jina Oscar Pistorius imekuwa ya kawa kuskia kwa news coz ya venye amekuwa kotiko akingoja kuamuliwa kesi yake. Husuyu mboiyz kutoka S.A, alikua Olympian na ilikua inasemekana alimada manzi wa kwake, mwenye alikuanga model.

Ata baada ya kujitetea akidai alidhani kuna intruder kwa jakes yao, Oscar amepatikana kukuwa Guilty of Culpable Homicide ama Negligent Killing. Jajiko alikua asha declare that hakuwa Guilty of Murder ya manzi wake, Reeva Steenkamp. Lakini kwa sababu alishoot huyo mbuus akiwa kwa loo, ikadaishwa hakuwa na intentions.

Pia anacheki charges za kukuwa na bunde illegally na kufire kwa area public bila ruhusa.  Sa anaweza tupwa neti hadi miaka kinde na ngovo, lakini bado tunangoja sentence yake kuannounceiwa.

Related Stories