Maisha ya sare…

September 18 2014 1:03pm     0 653

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna mjamaa nifla anajiita Joe, husuko Manhattan New York, mwenye ako homeless lakini ametumia ujanjez ya kuweza kuishi sare. Joe amependa sana kujipodoa, na wasee wengi hawajahi amini ako homeless.

Sa anatumia uhandii yak wake, kukatia mambuus, wenye hurudi kumchipo na kuenda na yeseye hadi mtaani. Atleast kwa wiki anaweza pata madem tofauti kumchota na mwishowe anaget place ya kutuna. Lakini zile siku atahata manzi wa kumchota, hubidi anadoze njei kwa pevu.

Anadai alichujwa kutoka kwa jakes ya masake, na hawai kuwa na regrets. Ati coz atarauka na kufanya chenye anajiskia. Haoni shida yoyote ya kuchotwa na mambuus tofauti kila usiku, kitu hufanya akiwai ganji kiasi za omba omba, atafika oduko na kuwai hair gel ama deodorant. Juu anapenda looks zake pia cladi zake hukuwa safi ata kama akona nne pekee.

Alirudi kusema hawezi takia wasee wengine kuishi kama yeye lakini hatawai temana na hii tabia juu inawork kwake vipoa. Tena anamanage kuwai keroma bila kuhustle sana.

Related Stories