Proposal kuhusu injuries za mdihe

September 23 2014 2:41pm     0 339

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

FIFA ikiwa governing sodi kabisa ya futa, inadaisha kumuja na rule ingine nira kuhusu injuries hufanyikia players kwa mdihe wakiwa uwanjo wakikagusa.

Michael D’Hooghe ndiye donga wa FIFA medical committee, na yeseye ndiye alimuja na hii rule so anafaa kusubmit proposal kwa executive committee ya FIFA. Rule yenyewe bado inadai; refa anafaa kustopisha game kwa dakika tuta, ili doki wa team aweze kushugulikia msee mwenye ameumia. Baada ya hasapo, doki tu ndiye anaweza amua kama player atarudi uwanjo ama hataweza rudi. Ata koches ama player mwenyewe hawezi decide kurudi, ni doki pekee atakuwa na hiyo right.

Hii rule imetokea juu maplayer wengi wanainsist kurudi uwanjo na hawako best. Ni kama risto ya gola wa Tottenham, Hugo Llories alipoget injury ya mdihe, alafu kiblanda akakubalishwa kurudi kugusa game. Kesi ingine ni ya Alvaro Pereira wa Uruguay wakiwa wanagusa na England kwa this year World Cup, wakabondana na Raheem Sterling hadi akatupa network na bado akakubalishwa kuendelea baada kutibiwa na doki kwa side line.

Hii proposal ikago through itakuwa ina apply kwa premier league, EUFA, Europa Cup na pia kwa International matches.

Related Stories