Mechi kati ya Gunners na Southampton

September 24 2014 11:36am     0 288

Photo Credit:Standard Digital   Tingua risto

On 23rd Sept, hii mvua, palikuwa na mechi jamo noma sana, kati ya Arsenal na Southampton. Na tunacheki Arsenali waliweza kuchujwa kwa hii tona, baada ya kukung’utwa dude mbee kwa jamo wakiwa wanagusia kwa uwanjo yao The Emirates Stadium.

Alexis Sanchez aligei Arsenal dude ya fao baada ya free kick, alafu ikiwa zimebaki dakika kobole first half kukatika, Southampton waka angukia pena na Dusan Tadic akaweza penyesha ball hadi ndani kwa net. Sasa msee alibambisha hii game ni Nathaniel Clyne na dude yake noma sana. Dude yenyewe alitinga baada ya kuchomoa nduki noma sana 35 yard kutoka kutoka kwa post.Yebi hiyo dude hasapa

Southampton raundi hii wanagusa poa sana ata baada ya kundonyo maplayer wake wanoma wakiwa under manager wao mnira Ronald Koeman. Tunacheki ata kwa Premier League wakiwa place ya seko.

Swansea ndio team inengi ikona vishasha tu sana venye tu league imeanza. Waliweza kukung’uta Everton dude tatu mtungi, dude kutoka kwa Nathan Dyer, Gylfi Sigurdsson na Marvin Emnes. Alafu pia team ingine ikona moto ni Stoke City baada ya come back nakudouble dunde mbee kutoka kwa Marc Muniesa mwenye anatoka Spain.

Liverpool ndio team ilifaa ichukue League last season but hawakuwa na kismat. Sasa wanazidi kuona siku ndefu sana, baada yaku loose mechi zao mbwex alafu ya thado wakaweza toka draw na Middlesbrough.

Related Stories