MCAs wanadai ndenga na bodyguard

September 25 2014 12:09pm     0 523

Photo Credit:Google   Tingua risto

Members wa County Assembly kuna venye wanadaisha law inafaa ibadilishwe kiasi. Wandai kuna venye wananeed State Security juu pia wao ni leaders wame electiwa.

Kupitia Chair modo wa MCAs Bwana Abdi Nuh, wakiwa forum nifla husuko Odhumo, alisema inafaa kuwa kawaida ukiwa wesewe ni elected leader unafaa kuwa na state security juu ya threats most zenye wanapata juu ya lives zao.

Bado alisema juu ya nature ya job yao wako exposed sana na security challenges, juu most of the time unapatana na wasee hautambuani nao. Sasa eti wananeed ma bodyguard pamoja wakubalishwe kubeba ndeng’a.

Law nayo inakwara MCAs hawafai kubeba mchuma. Wasee wale wanakubalishwa kubeba mchuma ni kama MPs, wadosi wa Judiciary, the Attorney General na Director wa Public Prosecution.

So bwana Abdi alidaisha pia wao wanafaa kuingizwa kwa hiyo mix na wawekwe kwa hiyo list. Juu wanagwaya na lives zao, ata wanashtuka kufanyia janta kwa offe zao za ward.

Sasa swali ni; hawa wadhii wanafaa kugeiwa ndeng’a kimoja na ma bodyguard? Ebu nichapie oya …..

Related Stories