Kenya iko down tu sana…

October 7 2014 10:41am     0 382

Photo Credit:Google   Tingua risto

Raiya wa 254 wamekula machungu baada ya kuskia Jay Z aliamua kutingua club husuko UG. Kabla afikie decision ya kutingua hiyo club, Jay Z alidinda kufanya concert hasapa GG na akaenda UG, si mara moja, mara mbwexes zile tumeskia officially.

Friday ya 26th Sept 2014, alitingua club 40/40 hasapo Upper Kololo, route 256, kama biz ya fao Africa. Ata hivyo Jay Z akona club zinengi huko Steto zote zikiwa na jina same ya 40/40. Wakati hasapa 254 tuna attract ma-celeb kama Wizkid na 2 Chains, UG sasa watakuwa lembe juu ma-celeb wengi watadai kubash kwa club ya Jay Z.

Management wa club 40/40, anadai ikona special rooms za msee anataka kubash privately na mabeshte wake na pia kuna corporate rooms zenye wasee wanaweza have meetings kama wanaskiza ngoma. Na bado raiya wa kawa watakuwa na area ya kujibamba juu bado kuna space bwaku ya kuparty.

Manze itabidi tumepull up nyong'inyo ndio tufikie hawa maneighbor wetu. Juu inaonekana sector ya entertainment tuko down kama mchanga ya loo.

Related Stories