Njaro nira ya kupreach gospel

October 8 2014 1:22pm     0 590

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna couple jamo kutoka Florida, wamemua kubadilisha venye wasee huthink kuhusu faith. Wanadai waliamua kufikia wasee na gospel kupitia Swinging- njaro couple huswitch partners na kusexuana. Ata walianzisha website ya kusaida wadhii kuhook up, inaitwa Fitness Swingers.com

Zaidi ya kukuwa Swingers, wao pia ni bodybuilders na wamekuwa wakitumia hii mraa kuleta Jesus lovers pamoja, wakishare Bible verses. Na hawajali kile wasee wengine watasema, coz wanajua God hawezi kujam nao. Eti kwanza alitaka wasee kubreed na kujienjoy.

Wameshaamua hii ndio itakuwa lifestyle yao na wao hubambika sana wakiget couple nira inadai kuwajoin. Unaweza kubali kufwata hii gospel ama unafeel sio Christianity iko hasapa?

Related Stories