Club ya waniaju

October 29 2014 10:44am     0 338

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu zamo kumekuwa na rule ya kuchuja watoi kwa maklabu, kwasababu ni maunderage. Napia imekuwa fiti hivyo ndio wasikuwe exposed to vitu kama keroro ama explicit behavior za wasee wabwaku.

Lakini na husuko New York, wametingua klabu za kucater for underage wanadai kuenda hare. Kumbe imekuwa trend nira kutingua hizo club na wanakubalisha waniaju kutoka miaka sita hadi kinde na mbweks kufika sana sana kwa afte ya Sunday, ndio waget taste ya kuparty kwa nightclub.

Ngoma pia ni mwenda wakiplay electro na kukatika kinyama. DJ pia ni watoi wa miaka 8, wenye wanaagusha mamix za kubambisha crowd. Utapata mapero wakiwa hasapo kando ya waniaju wao wakichukua mambisha za kujijazz baaden. Na wengi wao wanadai wao hupanga venye watoi wao watafika kwa hizi klabu kuhepi ata kama ni mara jamo kwa mwezi.

Kama paro, unaweza tamani kupeleka watoi wako kwa hizi party scenes?

Related Stories