Champee wa Formula One Brazil

November 10 2014 2:41pm     0 186

Photo Credit:Fomula 1.com   Tingua risto

Hii wikendi imepita palikuwa na race za safo, na tunacheki ya this time round palikuwa na champee mnira. Hizo compe zingine tunajua ni Lewis Hamiliton ndiye amekuwa akiwin.

Sasa this time kuna champee mwingine anajiita Nico Rosenberg. Lewis na Nico  wamekuwa wakipelekana teke, juu lewis akiwa wa fao unapata Rosenberg ni wa seko, hizo race zote Lewis ameshinda.

Hii race ya Brazil ndio race ya second last, ya last kabisa this season ama this year itakuwa husuko Abu Dhabi. Hii race nayo ilikuwa na mambo zake, mbili zile mwenda ilikuwa ya Romain Grosjean alihave kupull out baada dinga yake kushika nare. And then mwingine mwenye alipatikana kwa noma Daniel Ricado akiwa anagurumisha Red Bull aliget kama front suspension imechapa. Unaweza cheki full results kwa hisihi link.

Related Stories