Buu haitahitaji ngata…

November 25 2014 11:11am     0 231

Photo Credit:UPI   Tingua risto

Tutajitoa lini kwa hii ngori ya kuboti ngata? Ama labda itabidi kujoin mradi ya kimayolo kama hii area inajulikana kama Bath, na husuko England.

Tunacheki kampu yao ya siwee imeamua kuget Bio-Bus, yenye inakuwa powered na shoi za wasee. Hisihi buu ikona viti arbesa za wateja na inaweza ride upto 186 miles ( 299km).  Sa kuna shonde na waste za keroma kwa tank badala ya ngata, alafu inamekisha biomethane, yenye inafanya buu kusonga.

Inakuwa hanaku waste ya siwee alafu pia jiji inasave mkwanja wakati wanaget gas kutoka kwa biomethane. Kwa sahii hizo buu zinabeba route A4 kutoka mtaa ya Bath hadi airport ninda ya Bristol.

Enyewe tukaletewa hizo buu hasapa 254, nikidhani risto za kuruka mitaro za siwee itakatika. Pia tutakuwa tumemaliza ngori za flying toilets bana. 

 

Related Stories