Machinku wamezidi sasa…

November 26 2014 4:10pm     0 513

Photo Credit:Google   Tingua risto

Aki nimeinamishia hawa wadhii. Kutoka zamo kumekuwa na saying hanaku kitu iko duniani chenye Mchinku anaweza lemewa kumekisha. Na enyewe wameshikilia cup ya kukuwa the best copy cats. Kumbe hao ndio waliinvent mwaks ya kucopy.

This round wamemekisha photocopy ya Land Rover Range Rover. Ndai jamo ya vungu hadi hukindwa kutoka mita saba, bei ikipanda juu, kulingana na features iko nazo.

Inajulikana kama Land Wind X7, inafanana kabisa kama Range Rover Evoque, na itakindwa $14000 (Ksh 1.3M). Kumaanisha kila raiya ataweza kuboti hii ndai, hadi donga wa Land Rover oriji amedai atazusha kuhusu udingo wa design ya ndai zao. Itakuwa ni breach of intellectual property law, yenye iko owned na Jaguar Land Rover.

Related Stories