Results za UEFA champions

December 10 2014 12:00pm     0 205

Photo Credit:UEFA.com   Tingua risto

Jana palikuwa na match kadha za UEFA Champions League, na tunacheki kuna team ziliponea kupenya next round alafu kuna zingine zikalost.

Kwa Group A; tunacheki Juve wakiwa wanagusa na Atletico Madrid walidraw, hii inamaanisha Juve wameponea kwa hisiyo round next pajamo na Atletico. Olympiacos wakakung’uta Malmao FF dude nei mtungi. Olympiacos walikuwa wanaexpect Juve  kuloose, but sasa watahave kuingia Europa League, hii inakuwaga kama UEFA ndogo.

Group B nayo, Livepool waliweza draw na FC Basel dude jamo jamo. Sasa Liverpool imemochoka baada FC Basel kuequalize na draw, chenye walikuwa wananeed. Real Madrid nao wakadunga Ludogorets Razgrad dude nne mtungi. Hii inamaanisha Real imeget victory ya kushinda game sita zikifwatana mara tatu sasa juu washawai tena in 2011/12.

Group C; SL Benefica waka draw na Bayern Leverkusen nil nil. Already Leverkusen walikuwa washapenya kwa hiyo round ingine, walisarea Manaco kukwachu place ya fao. Monaco nao wakadunga FC Zeint dude mbee kwa nunge.

Group D nayo, Galatasaray wakanyukwa na Arsenal dude nne kwa jamo, ata hivyo walifall short ya kutoa Dortmund kuwai top spot. Burussia Dortmund nao wakadraw na RSC Anderlecht na dude jamo jamo.

Related Stories