Results za KCPE zime toka!

December 29 2014 12:05pm     0 166

Photo Credit:Nairobi Wire   Tingua risto

After kusereka krisi, real ya life ime wahi waniaju wenye wali do Kaysip this year.

Leo Prof. Kaimenyi ali release results za waniaju kindu 800,000 wenye walisit 2014.This year pia kuna nipla nira ya gava yenye iliwika hakuna kurank ma chuo na waniaju na venye wame perform. Kuna venye gava ilidai kurank machuo na waniaju inafanya mapero na machuo kuconcentrate on mwax na vitu ka hizo ati ndio chuo zao zi perform mwenda ndio waniaju wengi wamuje vyoi.

Uki taka ku get results za watu wako, tuma index number ya mniaju kama text kwa 22252 ama unaeze ziyebi online kwa website ya KNEC

Related Stories