Venezuela wamemada elections zao

October 8 2012 2:21pm     0 703

Photo Credit:John Rossomando   Tingua risto

Huyu mdabus, Hugo Chavez amekwachu hio kiti ya orezo mara ya nyei sasa after wathii wa Venezuela wamge ma kura hii wiki imepita. Ilikua election ya vungu sana, wathii wengine hawakua wanaona ene....Unaona nani atakwachu elections next year hapa mtaani?

Related Stories