AFCON imemuja tena

January 19 2015 4:12pm     0 181

Photo Credit:Google   Tingua risto

African Cup of Nations ilistart on Sato date 17th 2015, ikiwa inafaa kuendelea hadi 8th Feb 2015. Ikiwa edition ya salasa, ilianzishwa mwaka wa 1957 ikiwa na team za country tatu pekee lakini hiyo mbana ilirudi kupanda hadi kinde na six.

This round, mradi ya kupanga venue iligonga ukuta baada Morocco,yaani hosting country kudinda kuhold AFCON kwa grao zao, kwasababu ya Ebola scare. Ilibidi organisers wakiwa Confederation of African Football (CAF) wamesaka area tofauti ya kuhold hii tonaa. Ilibidi wamekubalisha Equatorial Guinea.

Risto funny ni venye Equatorial ilikuanga imekuwa disqualified lakini juu walikubali kukuwa host, watakubalishwa kuparticipate. Miaka za hisihi event, hukua za mbana odd ndio isigongane na FIFA World Cup. Alafu Egypt ndio imekuwa ikishinda zile mara most. Ikifwatwa na Ghana alafu Cameroon.

Inakaa ya this time itakuwa na sarakasi kibao, nashangaa itarudi kuishaje. Manze weka predictions zako mapema mapema, tucheki nani atawai hiyo cup basi. 

Related Stories