Waliosahaulika…

January 27 2015 10:19am     0 57

Photo Credit:blogspot   Tingua risto

Kuna mamero kutoka mayadi za Solomon Islands, wenye wanatambulika kama ‘the Black Blondes.’ Lakini jina official  ya hisihi tribe ni; Melanesians. Ni kwasababu wakiwa weusi kama sisi, wakona nywele rangi ya thao karibu kukaa kama za walami.

Inasemekana histo yao iko rich sana, after kumigrate kutoka coast ya Arabia hadi India. Walizidi kumaha na kujipata area kadhaa za dunia kama; Indonesia, Borneo, Papua New Guinea, ata Australia.

Ile place walirudi kufanya ikuwe mtaani, iko na volcanic soil alafu foree kibao na culture yao ni mwenda ajaabu. Wao hubonga ngoso na Solomon Pidgin, lakini bado kuna local languages zinengi 87.

Hapo zamo walikuwa wanaprako cannibalism, head-hunting, kidnapping, slavery na open sorcery. Lakini walirudi kubadilika na siku hizi 95% ni wakristo. Wanapenda art na ngoma kwa wingi. Ni poa kujua wakona gova ata kama bado kuna traditions wanazidi kufwata, na ata wakikaa tofauti, wao huduu vitu kawa kama wasee wengine tu. 

Related Stories