Gor wakatingwa dude tatu

February 2 2015 10:38am     0 341

Photo Credit:Futaa.com   Tingua risto

Ikiwa friendly ya fao Kogalo kucheza tunacheki haijaanza vipoa wakiwa wanaprepare kugusa African Champions League na bado kudefend title yao ya KPL. Kogalo walitingwa dude tatu mtungi na Power Dynamos ya Zambia.

Gor watajiblame wenyewe baada ya kundonyo pena mbili, pena ya fao ilitokea baada player wa Dynamo kugusa handi ndani ya 18. Timothy Otieno alipopiga pena, ilibambwa na gola wa Zambia Joel Kanyimba.

Baadae kiasi Dynamos pia wakajishindia pena, baada ya Collins Okoth kutega player wa Zambia ndai ya penalti box. Kennedy Mudenda hakumake mistake na aliweza sawazisha, na first half ikakatika kama game ni moja mtungi.

Second half Kogalo ikapatwa off-guard wakiwa wanasaka equalizer, ikabaki wametingwa na counter attack ikiwa daika ya 55th dude kutoka kwake Richard Kasonde. Dakika ya 65th kogalo wakaangukia pena nyingine, na Michael Olunga ndiye alikuwa anaipiga. Waah Olunga pia na yeseye akandonyo pia baada ya kupiga ball juu ya post kama mudhii wa rudge.

Ikiwa kama bado dakika kinde game ikatike, Lika Lungu, alisawazisha dude ya tatu na at the end of the game mechi ilikatika kama ni Power Dynamo 3-0 Gor Mahia FC. Game next Kogalo itakuwa inacheza na team ya Madagasca hasapa 254.

Related Stories