Kanairo ni jiji ya machopi

February 11 2015 1:12pm     0 240

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe 254 imetokelezea kwa radar ya CNN mara mbwexes kama country ikona the most intelligent city, Africa nzima. Lakini inadaishwa bado hatujafikia rank ya top seven finalist kwa dunia. Kumaanisha tuko na wera bwaku ahead.

Kulingana na Intelligent Community Forum, kufikia hii stage inashow na venye raiya wanachukua conscious steps za kucreate economy yenye inaweza kuprosper. Hisihi iko sana sana kwa area ya information na communication technologies.

Ingawa kuna foundation mwenda hasapa kanairo, bado inafaa kuvuta nyong’inyo kufikia citie zinengi kama;

  • Arlington County (U.S)
  • Columbus (U.S)
  • Ipswich (Australia)
  • Michell (U.S)
  • New taipei City (Taiwan)
  • Rio de Janeiro (Brazil)
  • Surrey (Canada)

Kanairo ikona opportunity ya kujengea raiya,bizna na machuo future ya ajaabu. 

Related Stories