Ni wakati wa kumaha

February 19 2015 2:34pm     0 241

Photo Credit:Google   Tingua risto

Raiya wa 254, wamekuwa wakishow loyalty sana kwa mobile service ya Safcom, na sahii wanapewa sababu ya kusaliti. Airtel leo wameintro product nira yenye itafanya wadhii wengi kumaha services ama kushikilia sim card mbexes.

‘UnlimiNET’ ni bundle jamo flexible na affordable, ikiwa inakubalisha mwenye anatumia kukuwa na freedom ya kubonga for long na bado kukuwa connected kwa internet bila kukatsiwa.

Ata ukiwa umesota sana, bado utaweza kuboti hisihi bundle, juu unaweza kuwai na chwani. Macustomer wa pre-paid wantakuwa na raha za kujibamba masaa mbaula na nnei, watawai dakika mbao za sare kubonga kwa hii network,SMS soh jamo pia za sare na 100MB data kila day.

Speeds zake ziko teke njaro unaweza access bila noma, social networks na Gmail, bora umeshaweka subscription. Pia kubonga na network zinengi itakuwa as low as sh 1.70 per minute. ukidai kusunda bundles, dial *544# kwa nangos yako ya Airtel, kuipatia test drive.

Related Stories