Mechi kati ya Egypt na Kenya

February 25 2015 5:26pm     0 187

Photo Credit:Aharamonlline   Tingua risto

Egypt Football Associoation (EFA) imeannounce kuwa kuna venye Kenya team under 23 ita travel hadi Egypt kugusa nao on Sunday. Hizi ni mechi za All African Games qualifiers.

Already mechi ni scheduled na itachezwa on Sunday katika Cairo stadium kulingana na Confederation of African Football. Alafu raundi ya seko itagusiwa hasapa Kenya next month. Mechi yenyewe inaexpectiwa kuplaiwa at closed doors bila mafans wowote juu ya insecurity.

Hii ni major issue juu Port Said wakiwa wanagusa on the same uwanjo mafans sabini na mbekses waligenya, baada ya kukuwa attacked na rival side mvua tatu zimevuka sasa. Domestic football husuko imebaniwa juu ya risto kama hizo za wasee kuvunjana kwa stadi.

Tunahope team ya Kenya ikiwa husuko watakuwa safe, na wataweza shinda against hii team.

Related Stories