Cladi ya Lupita ika sanywa

February 27 2015 9:56am     0 212

Photo Credit:Dailymail   Tingua risto

Risto tunapata hasapa ni cladi ya Lupita Nyongo yenye ina worth $150,000(ksh 14m) ili dhanywa kutoka kwa hotel room yake.

Hii cladi ilikuwa custom made Calvin Klein ili creatiwa na Francisco Costa ikiwa featured na thao sita za pearls. Inasemekana hii dicla ilidhanywa at The London hotel husuko West Hollywood.

Lupita anadaisha hii dikla ilisanywa magidhaa za saa mbili na saa tatu, akiwa amemochoka kiasi.Spokesman wa makarao anadaisha enyewe ame confirm cladi ilisanywa, sasa kunavenye wanatumia CCTV footage ku saka links.

Inasemekana hiyo cladi inawezakuwa ilidhanywa ile idhaa cleaners walikuwa wana cleaan rooms juu huwa wana sare mngola wazi.

Related Stories