Huyu boiz, Ochi
October 10 2012 11:43am
0
459
Photo Credit:This is Creme Tingua risto
Yenyewe tunafaa kubig up huyu boiz, Henry Ochieng' ama vile tunamjua kwa mamtaa, Octopizzo. Talanta zake sio tu kuroga, ako poa pia kubongesha waniaju na kuwage motisha...kiche risto yake. Nani mwingine mtaani anafaaa kupigwa big up?