Hanaku kumess na environment

March 4 2015 2:53pm     0 81

Photo Credit:Google   Tingua risto

Jana 3rd March 2015, ilikuwa siku jamo important kwa wanyama, juu walikuwa recognized kwadunia nzima. Ikiwa World Wildlife Day, message za create awareness kuhusu umuhimu wa kuconserve environment. Pia kucelebrate forms zote za wanyama na plants zile wild, juu ya venye ni supuu.

Kuna venye wadhii kadhaa wameamua kuomoka kupitia kudedisha wildlife alafu wanakinda nyagu, bones na skin zao kwa Black Market, ata wakijua ni biz illegal. Alafu hiyo biz hurudi kuleta impacts negative kwa society.

Countries kibao zimemuja pamoja wakiwa na mradi ya kuweka marufuku hiyo biz na pia kuchukulia serious wildlife crimes. Kumaanisha itabidi kukaa rada na wadhii wanatumia wanyama kumekisha products wakidai ni za dawa, keroma ama accessories.

Hasapa 254 tunacheki Orezo Uhunye, aliweza kuzusha kuhusu poachers na kudai kila msee anafaa kukuwa responsible for wildlife alafu pia inaweza kuwa fiti raiya kudedicate 10% ya shake zao kuconserve foree. Pia alitumia hiyo opportunity kukumbuka Wangari Maathai mwenye alishow ulovito yake yote kwa environment. unaweza kenga hiyo risto kwa videsa hasapa nichi...  

 

Related Stories