Nairobbery ngware…

March 4 2015 3:13pm     0 189

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ngware ya weno ya March 4th 2015, kumekuwa na parasha za ajaabu sana kuhusu kisanga ilihappen hasapo Kenyatta Avenue, tao. Ninda ya social media, wadhii walikuwa wanadai eti kuna madingo chwani wenye walifika keja inatambulika kama Caxton, wakiwa na mabati na miti za mjei, wakaziba building alafu wakaendelea na kuosha burungo kutoka kwa maoffe na maduka.

Lakini sahii risto inasambaa, inadaishwa eti kulikuwa na eviction process ilikuwa inaendelea. Sa mayut kama soh jamo hivi walimuja na crude weapons na kuanza kuzua zogo kuhusu hiyo eviction, gidhaa ya 5am. 

Alafu wanakuwa accused na looting na kuharibu property, njaro makarao walimuja kutuliza situation. Ngori ilikuwa mwaki, juu ilibaki msee mjamo amegenya na wengine kadhaa kuumia sana baada ya hiyo vurugu. Kuna wale walibambwa lakini hadi sahii tunangoja kujua risto ya ukwela. 

Related Stories