Mtaa ya manyau….

March 4 2015 4:07pm     0 185

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Island jamo iko husuko japan imekubali jina Cat Island, juu ya venye imekuwa reigned na manyau. Hanaku wagido ata jamo hasapa manze. Inasemekana kuna nyau sita kwa msee mjamo. Zikiwa nyau kama rwabe na raiya wakiwa mbao na mbweks solo.

Ilihappen baada nyau kuletwa kwa Island ndio zimade panya zilikuwa zimeraid raiya wa husuku, juu walikuwa ni fishermen. Inakaa zilirudi kuzaana alafu hanaku msee alizirudisha kule zilitoka, ikabaki hizi yadi imekuwa mtaani.

Wadhii nao walirudi kumaha pia wakisaka waks na kuenda kwa mainlandbaada ya 2nd World War. Sa mbana ya nyau imezidi ya wadhii. Hadi kuna tourists wenye humuja kukenga hizo nyau. Inabidi wanamuja na keroma kuzigei, juu wakaazi wa huku hawawezi zilea forever. 

Lakini raiya wa cats Island wanadai hawana shida na nyau, wanatamani tu wadhii watie zii kumuja kuwasumbua. Enyewe ata hawajawai kujenga maresto ama hoteli za kuaccomodate hao tourists, kuonyesha venye hawafeel riba zao ata kiasi.

Related Stories