Beyond zero campaign

March 9 2015 8:15am     0 304

Photo Credit:Alex Isaboke   Tingua risto

March 8th Moses Kosgei na Georgina Rono, ndio machampee wanira wa 2015 First Lady Half Marathon 21km ya majamaa na madem.

Kila mjamo alisunda mbosho; soh saba na chwani thao, event yenye iliattract wadhii 16 thao na wote waliparticipate na thao tau waka participate kwa main race. Tunacheki pia first lady Margaret Kenyatta, alikuwa among participants kwa hii race na ali manage kumada hii half marathon ya 21km.

Orezo alikuwa inadi na aliweza kureceive First Lady hasapo finish line, wakiwa kimoja na Depa wa Orezo; William Ruto, pia na yeseye alikuwa among participants. Mr. Ruto anadaisha anachocha Orezo aingie zoezi ndio aweze kuparticipate next time, juu kunao wadhii already wamemchukulia njumu alafu Ruto ashamchukulia cladi za kutrain.

Wadhii waliparticipate wanadaisha race haikuwa raisi juu manze sola ilikuwa imewaka videadly. Na bado palikuwa na machampee wengi kwa hii race, mwanzo ya majamaa. First Lady alikuwa company ya machampee kama; Ezekiel Kemboi, Catherene Ndereba na Lorna Kiplangat.

Related Stories