Cladi kuleta matata…

March 9 2015 12:07pm     0 437

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Salvation Army waliamua kufanya campaign ya kuraise awareness kuhusu domestic abuse, na waliweza kutumia advert jamo mwenda yenye ilichangia wadhii kudebate kwa internet for long. Hisihi campaign ililaunchiwa husuko South Africa, wakitaka kuhighlight masaibu mambuus hukapitia kama victims wa kuvunjwa mtaani.

Kwa mbisha ya advert, walikuwa wameweka mbuus ameng’ra cladi ya white na gold lakini akiwa na maalama kwa mwili, kama msee amevunjwa. Sa wasee walikuwa wanachangia, wakidebate color ya hisihi cladi ikidaishwa wadhii wanafa kuyebi color blue na black instead.

Enyewe ilikuwa njaro mwenda sana kufungua macho za wasee, na pia kujulisha dunia that kuna madem wanaumia huku njei. Kwanza mbele kuna mbuus hukuwa victim wa domestic violence kwa kila rende ya mambuus wasita, daily. 

Related Stories