Langa anadaisha wedo kwanza

March 26 2015 11:01pm     0 1196

Photo Credit:HD Wallpapers   Tingua risto

Haijawahi skika ati before upewe vitu na langa lazima mkue mmefanya wedo...lakini kuna husuyu msupa mjamo muislamu mwenye anajiita Kamillah, ni wa kerathi ya juu. Kamillah ni langa wa kutoka London mwenye kupata idhaa na yeye lazima utoboke $450 (karibu KSh 41,000) na ukiongezea $100 ingine, (KSh 9,000) matado kitu inaitwa Nikah Mut'ah - hii ni ka marriage temporary yenye Shia kadhaa wanasema itaweza allow msee mumangana nje.

Kamillah alianza hii njaro juu according to religion yake, kumangana nje before wedo ni blanda bigi sana na kuna madem wengi sana husuko London wamekau wakifuata hii mepu. Inasemekan, kupenya kwa marriage for kedo 1 hr inasaidia wasee juu hata wakimangana within hio idhaa, si blanda kwa Allah. Hii ni according to translations kadhaa although kuna Shia wengine wanasema hii njaro ilikua imekataliwa hata time za Mohammad.

Unaweza hii riba ama unaikenga aje?

Related Stories