Blanda ya April Fools

April 2 2015 1:51am     0 513

Photo Credit:App Scout   Tingua risto

Ka kuna time unafaa kua rada na mabeshte wako,hata si end month mkiwa kadunda...ni hii day jamo ya April Fools.

Msus mjamo anajiita Hayleigh McBay, kutoka UK, alikua ameamulia chali yake design alingoja mpaka midnight ya April 1 ndio amtumie text ati anataka watemane...lakini kumbe boiz alikua rada, alibaki amemgeuzia ujanje na ikabaki msus ameshangaa. Baadae alisunda hio riba yao kwa Twitter, na wasee waliiteremkia mbaya

 

 

After kuteremkiwa kiasi yake, Hayleigh ilibaki ametuma tweet kushow wadhii blanda haikua real, ilikua tu risto na chali yake kumgeuzia.

Lakini hata kama ni kugeuziwa, unaamini hii risto ama pia wewe uligeuziwa yako?

Related Stories