Wakilisha mtaa yako

April 17 2015 12:44pm     0 965

Photo Credit:kplchat.com   Tingua risto

Hii wikendi patakuwa na mechi mbaula za super 8 tona, na zitakuwa zinachezewa kwa mitaa kadhaa hasapa kanairo.

Starehe

On sato, husuko H-town uwanjo ikiwa Dragon, patakuwa na semi-finals sport up for grabs. Intact FC wakimenyana na Umeme Bees, idhaa ya saa sita afte. Hasapo tu Dragon patakuwa na mechi nyingine kati ya Young Kings na Kiamaiko FC ikiwa local derby.

Westie

Kihumbu-ini stadi, patakuwa na mechi za league ya seko preliminaries, Guza Guza FC wakimenyana na RYSA FC magidhaa za saa tano ngware. Idhaa ya saa saba Uno Cavs watahost Winnera Chapel FC, and final match ya the day itakuwa kati ya NYSA FC na Vision FC idhaa ya saa tisa mchana.

Kamu

Kwa uwanjo ya kamu, patakuwa na quarter final nne on sato. Wenyeji watagusa na Kiambiu Youths idhaa ya saa sita mchana, Shauri Moyo FC watakuwa wanagusa na Wazee pembe magidhaa za saa tisa mchana.

Kasa

On Sunday kwa uwanjo ya Baba yenye hujulikana kama Red Carpet patakuwa na knock out stages. Lucky Summer FC watagusa na Q-Dep idhaa ya saa sita, alafu quarters za seko zitakuwa kati ya Githurai United na Metro Sport idhaa ya saa tisa mchana.

Dago

Riruta Stadi yenye iko Ungwaro hujulikana kama BP grounds, itahost quarter finals tatu hii ndeisa. Idhaa ya saa tano, Melta Kabiria itagusa na Mituini Rangers. Alafu magidhaa za saa basa, Amani Yassets itamenyana na Riruta Baptist FC, and then Dagoreti Santos itagusa na Impala Youth idhaa ya saa tisa.

Lang'o

Kwa uwanjo ya Woodley, patakuwa na constituency semi-finals kati ya Diguna FC itagusa na More Fire Sonia idhaa ya saa nne. Magidha za lunch time Rongai All Stars ita gusa na Toi Market FC.

Emba

Husuko Calvary uwanjo, game ya ndeisa patakuwa na quarter finals mbili. Idhaa ya saa tano ngware, Soweto Hope watagusa na Yashua FC, and then Umoinner FC watagusa na Kayole FC magidhaa za lunch time.

Makadara

Patakuwa na quarter finals mbili kwa uwanjo ya Hamza grounds, Gas Ghettos watamenyana na Naibees magidhaa za saa saba. Alafu Reading FC watagusa na MASA FC idhaa ya saa tisa mchana. Tuna show wadhii wajitokeze naku wakilisha mtaa yako, na mtaa yako ni gani?

Related Stories