Graduate na miaka kinde

May 25 2015 4:14pm     0 570

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Ukiwa na mniaju mchopi, utamficha ndio asichongolewe na watoi wengine ama utampeleka colle? Tanishq Abraham ako miaka kinde na jamo na already ashawai associate degree tatu, kutoka American River College.

Jamo ilikua ya gidhafu mbexes za sciences tofauti na githomo ya lugha foreign. Na bado anadaisha anataka kukuwa doki, medical researcher na Orezo akishagrow. Hanaku kumstopisha kuweza kufikisha hizi future goals zake bana.

Mapero walikuwa yadi kwa graduation bash yake, mkanya akiwa doki lakini wa veterinary medicine na bazenga ni software engineer. Wamekuwa wakihome school Tanishq na mtasis wa kwake, mwenye pia anasemekana kukuwa chopi kuruka.

Yaani wera yake imetambulika njaro hadi orezo wa Oteto, Barack Obama, alimtumia congratulatory letter baada ya kuwai diploma yasake ya kugraduate kutoka seko akiwa na miaka kinde.

                                                                                                                            

Related Stories