Kenya vs Botswana ni sare kuwatch

May 29 2015 8:33am     0 211

Photo Credit:Patrick Korir   Tingua risto

Game kati ya Kenya na Botswana yenye itaguswa Ndaisa 31st husuko Macha Stadie itakuwa sare kuyebi. Game yenyewe ni qualifiers za Olympics 2016, FKF ndio organizers wa hii match na wamedaisha itakuwa sare, juu wanadaisha pakuwe na fans wengi ili waweze kucheer.

Kenya ililost kwa leg ya fao yenye iliguswa husuko kwa stadia ya Lobaste Botswana Friday 22nd May. So inamaanisha Kenya lazima ishinde ndio waweze kuprogress.

Round ya thado either Kenya ama Botswana wakishinda watahave kumeet na Nigeria, Ivory Coast na Cameroon.

Related Stories