Regrets za mapero

May 29 2015 1:35pm     0 360

Photo Credit:Google   Tingua risto

Husuku ninda ya 254, kuna mapero wanadaisha wanaregret sana kueducate watoi wao. Lakini waniaju sumbua kumbe ni machali wenye huchop alafu wakishawai waks fiti kwa jiji, wanasahau penye walitoka.

Jane Kagu, ni mkanya kutoka mayadi za Kisii County na anadaisha alistruggle kupeleka son wake chuo lakini sahii alimarry na hurudi ocha kukiwa na wedo ama funeral solo.

Husuyu mkanya anawish angekuwa na madaughter juu ata kama angemarika hangemuachanisha kwa poverty namna this. Inakaa machali hujisort tu hadi wanasahau umuhimu wa famo. Ambapo haifai kuwacha wadhii wenyu manyu eti coz wamesota. 

Related Stories