Chachiko kudinda cladi nifla…

June 3 2015 12:25pm     0 462

Photo Credit:Google   Tingua risto

Chachiko kibao zililazimika kubadilisha njaro yao ya kufanya mambo ndio wadhii wanatamani kurudi ama kukubali kufika yadi. Lakini juu ya kukuwa loose kiasi, raiya wamekuwa wakienda pale wakiwa wameng’ara cladi za kushangaza. Hadi unaweza shangaa kama ni yadi dunda ama worship.

Mambuus kwanza ndio wamezidi, wakiwa wanadunga cladi revealing kuruka hadi karibu kukuwa ndedhe. Machali nao, hujinice na short, sandals na hadi jersey za foota. Njaro wakitoka chachiko wataingiza kwa starehe zinengi.

Sa kunayo chachiko iko husuko TZ, yenye wamekatsika na venye wafuasi hucladi na wakaamua kubadilisha hii trend. Parokia ya Mt.Martin wa Porres Church, iliwekesha billboard mwenda ikiwa na guidelines za kushow cladi zile ziko forbidden ama banned kuingia nazo chachiko.

Mwanzo mafans wa club ya futa ya Man U, ndio wamepigiwa marufuku zaidi. Hatujatambua ile pano wanaget wakimuja na hizo cladi zimekatazwa lakini hii inakaa kukuwa ngori kuruka.

Related Stories