Holy Month imeback

June 18 2015 4:52pm     0 538

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kila mwaka, the UAE Ramadan Moon Sighting Committee hukuwa na waks ya kucheki siku fasting itaanza, kufungulia mngola Holy Month kwa waislamu. Wameannounce Ramadan ya 2015, inaanza Thursday 18th June.

Kutoka hii day, tunaanza kucount down hadi siku salasa kuisha ndio waweze kubreak hiyo fast. Inakuanga time ya kupractice faith, kukumbuka masaibu za wasee wengine na kuconnect na communities. Zaidi ya kuchangamkia keroma ile mabro wetu waislamu hubash nazo, inaweza kuwa poa kuwapatia support kibao wakiwa wanafast.

Pia tunaweza kujifundisha mambo kiasi kuhusu kukuwa spiritual na kusaidia maskini. Tunawatakia Ramadan fiti kuruka.           

Related Stories