Waba kukatika jiji

June 30 2015 8:44am     0 595

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hanaku nux mbaya kama kurauka morgen alafu unaget waba imelost. Siku nzima huspoil pap. Kwanza itakuwa worse kama hiyo day ulikuwa na zile meeting important kwa offe ya donga nifla. Sema kumbetea na deodorant kila place! Mara mob hizi situation hutupata offguard lakini this round kuna warning ya tenee.

Inadaishwa waba italost area kibao hasapa Kanairo kuanzia Weno hadi Thursday. Kumbe kampu ya Nairobi City Water and Sewage, inapanga kutinga supply ndio waweze kuduu maitainance hizo madays. Hisihi Ng’ethu Water Treatment Plant ndio itakuwa inafanyiwa waks on 1st July kuanzia ngware ya 6am hadi 2nd July gidhaa ya 6pm.

Area zile zitakuwa affected sana ni; tao nzima, UON, Coca-Cola factory, JKIA, EPZ ya husuko Athi River. Pia maesto ziko Mombasa Road kama; South B, South C na mayadi ziko karibu hasapo zitaumia. Bila kusahau wadhii wa Inda, Jogoo Road, Maringo, Bahati na Buru.

Mamtaa zile ziko Outering Road, Juja Road, Thika Road, Limuru Road na Mountain View pia zitakuwa bila waba. Lakini ata kama hujacheki mtaa ya kwako, heri kujipanga mapema na reserve kibao za woiyez. Juu enyewe inaweza kuwa blanda ukajiget ukiwa mataani.

Related Stories