Unaweza kuishi bila nangos?

July 30 2015 3:55pm     0 832

Photo Credit:Google   Tingua risto

Technology ilimuja kubadilisha maisha za wadhii wengi sana. Kwa part ile bwaku huwa inasaidia area kibao na kufanya maisha kukuwa rahisi. Lakini kuna wale wamekuwa addicted na gadgets zenyewe. Na badala ya kujaribu kuadapt, wanabaki kama wasee wamefyatukiwa.

Sa kuna nguna mjamo alionyesha tu venye hii fanatism ya smart phones ni real. Husuyu mbuus kutoka Hong Kong alikuwa kwa train venye beha ya nangos yake ilidedi. Usione vile aliangusha tantrum kama mtoi amenyang’anywa puru.

Alikuwa anawika, akilia na kustamp mguu kwa grao alafu mapassenger wngine kwa train walikuwa wamelapa hiyo risto mbaya. Hanaku msee ata mjamo alimuuliza kama ako poa, ata ule alikuwa amekaa next na yeseye.

Alafu kuzidisha msee alikwachu videsa yah ii riba yote na imekuwa ikisambazwa kwa social media kama moto. Ukiwa unadaisha kuyebi kwanza punguza volume ya vida, usiumize maskio.

Related Stories