A Lion Dey…

August 11 2015 9:20am     0 605

Photo Credit:Google   Tingua risto

August 10th inatambulika kama siku ya mwenye huitwa King of the Jungle, yaani World Lion Day. Zaidi ya kucelebrate these legendary animals, inakuanga siku ya kuraise awareness kuhusu njaro ya kuprotect na kuishi na lions.

Badala ya kushinda tukijaribu kujilinganisha nazo, inafaa tufanye kitu ya maana alafu nay a vungu by kumekisha sure habitat zao ziko safe. Inadaishwa inaplay role bwaku kwa maisha za binadamu ikiwa; symbolically, religiously, culturally, economically and biologically. Kumaanisha lion zikienda extinct basi raiya watalostisha global heritage ya kwao.

Juzi kuna fala nifla amekatsia raiya dunia nzima baada ya kumada Cecil, lion mzae kwa zote, yenye ilikuwa inaishi husuko Zimbabwe. Inadaishwa mudhii mwenyewe ni dentist kutoka Oteto, eti alitoa hongo ndio aweze kumada Cecil kama trophy ya kwake. Sahii ameenda exile lakini amekuwa akisakwa atupwe neti.

Sa kuna njaro kadhaa za kujoin kwa campaign ya kusave lion  zinengi ndio ziponee kutokana na poachers. Unaweza join organization kama; Oxford University Wildlife Conservation Research Unit (WildCRU) wenye hufanya waks ya kutrack wanyama, kujua locations zao.

Inengi ikiwa National Geographic Big Cats Initiative yenye inapromote survival ya lions. Alafu International Fund for Animal Welfare(IFAW), wanasaidianga animals ziko in need. Ya lachu ikiwa; Big Cat Rescue, yenye husaka safe homes za nyau bwaku zenye zimekuwa victims kwa wild animal trade.

Related Stories