Mix ya Bongo na R&B…

August 19 2015 4:58pm     0 1200

Photo Credit:Google   Tingua risto

Itakuwaje msanii international kama Neyo anamekisha collabo na msanii wa TZ? Enyewe wasanii wa 254 wamedoze kwa wera. Inakaa ngoma za Bongo zimevuma sana hadi ikabidi artiste wa majuu kuanza kuchungulia ninda ya TZ wakisaka wadhii wa kuangusha tracks nira nao.

Ali Kiba, msanii kutoka TZ, ameangukia baada ya Neyo, msanii  kutoka Oteto, kudaisha ataka kuduu collabo na yeseye. Watarecord ngoma yenyewe kwa Coke Studio hasapa 254. Tunacheki Ali Kiba aliconfirm hiyo riba kwa social media juu hapo bafo ilikuwa ikidhaniwa ni parasha tu.

Kutoka TZ bado kuna msanii mwenye anatambulika kama Rapper AY mwenye alido collabo na Msanii kutoka Jamaica, Sean Kingston. Na tunangoja sana hizi track kukuwa released ndio tuzichangamkie. Labda hizi riba zitachangia wasanii wa 254 kuvuta nyong’inyo jo.

Related Stories