Mwisho wa jam!

August 20 2015 9:59am     0 367

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukiwa raiya wa Kanairo, hanaku siku itapita bila kutaja riba kuhusu traffic jam kwa mabaro za jiji. Imekuwa mbaya njaro hubidi wadhii kurauka ngware kuliko kawa kuhepa kujipata kwa fix. Ata inadaishwa imekuwa njaro jamo bwaku yenye inasababisha economy ya 254 kushuka.

Sa kampu za Safcom na Googlezimemuja na Waze App yenye inafaa kupunguza jam kwa baro. Wera yake itakuwa kuwai madere real-time info ya traffic. Info yenyewe inatoka kwa raiya wenye wako kw baro already.

Itakuwa ikitumia Global Positioning System Technology kucollect traffic info hadi kusema kule kuna aksi, baro hazipitiki, jam na kugeiyana alternative routes. Wadhii wataweza kusave time fogo yenye hupotelea kwa baro.

Hisihi collabo na Safcom ilikuwa kuwiden data network usage. Ambapo kupitia 4G Network yao yenye ishapenya kwa tao major kinde na kobole, subscribers wa Waze App, wataweza kuget updates mbio. Alafu iko available kwa musi za Android ama iOS App Stores.

Related Stories