David Beckham ku change Career

September 8 2015 12:32pm     0 280

Photo Credit:Express   Tingua risto

Tuna mtambua David Beckham kama player mnoma sana wa foota enzi zake. Beckham amekuwa na career poa sana na foota, almost team zote zenye aliweza chezea ali manage kushinda trophie akiwa na wao.

David Beckham ali rise kutoka Manchester United, na akaweza plaiya team zingine sodi kama Real Madrid, AC Milan, PSG, LA Galaxy na team zingine most akiwa on loan. Na kwa hizi team aliweza shinda trophies kadhaa kama English Premier League, Champions League, FA Cup, Community Shield na Intercontinetal CUP.

                           

Na kwa hizo trophies zote ameshinda aliweza manage kuget award mob sana. Tukianza na individual honours, goal of the decades, ESPY awards.

Na sasa imefika time ya yeseye kuchange career kutokana na wao fans wake, na ime kuwa iki trend ile noma sana kwa twitter husuko mayolo. Na hata hivyo Bechkam anadaisha sports imekuwa iki fanaya heart yake ina riada teke sana nan i same na kuwa kwa filo

                                    

Wasee wengi wanadasha yeseye ndio ata take over kama the next James Bond na ata take part ku play kama 007. Na kuna filo ina muja na ata take part, una yebi asaje husuyu boy ata fanya mambo kwa filo kama venye alifanya kwa sports.

Related Stories