Ngoma mwenda za Kenya
November 23 2012 9:45am
0
378
Photo Credit:Kenyan Post Tingua risto
Kuna session nifla huchezwa One FM inajiita Mizizi Throwbacks. Hapo ndio sasa utapata ngoma za hii enzi, Unakumbuka "Manzi wa Nairobi" "Hamnitishi" "Atoti" "Githurai" na akina "Unbwogable"? Yebi yenyewe hasapa