Ma Angro Kukausha

December 19 2012 3:57pm     0 453

Photo Credit:Chet of the Undead   Tingua risto

Kuna hii study nifla mayolo...inashow kumbe maboiz pia huumia sana wakigeiwa brus na mama kila wakati. Inabaki hao ndio ati sasa wanadai hawajiskii, kusema mara ati kuumwa na mdihe nini nini...Yebi risto yenyewe hasapa. Wewe ka boiz unaweza kazia mama ama ka mama, ushawai kaziwa na boiz wako?

Related Stories